Friday 31 July 2015

HUNA JEURI KAMA HII,MBONGO MOVIE AONYSHA JEURI YA PESA NI BAADA YA KUMPA ZAWADI YA NDINGA KIPENZI CHAKE

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu Bongo Hamisi Ndende amemzawadia mkewe gari kama shukrani kukubali kuolewa naye na kumzalia mtoto wa kike Hamida, msanii huyo alimtuza gari aina ya Paso mkewe Chau Uledi, katika shereha za harusi iliyofanyika hivi karibuni.
“Mara nyingi katika ndoa zawadi hutolewa na kama kamati au wazazi lakini mimi kwa upendo wangu nimeamua kumzawadia mke wangu zawadi ya gari mimi kama mimi kama shukrani kwa mke wangu kudumisha mapenzi yetu,” Ndende.
Ndende anasema kuwa maandalizi ya sherehe yake alifanya kwa kushirikiana na rafiki zake huku akizingatia nafasi yake kama msanii mkubwa katika tasnia ya filamu, Ndende ni msanii ambaye pia kwa sasa anaimba na  alibuka kung’ara katika filamu ya Girfriend baadae katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu

0 comments:

Post a Comment