Thursday 18 February 2016

Mama Apewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na Wameamua Kuoana

Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe
anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko
(23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi
makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye
level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na
ujauzito wa miezi sita aliopewa na mwanae.


1 comments: