Wednesday 8 October 2014

MAAJABU YA DUNIA TZ;WAKUTWA NA MAUTI WAKIFANYA MAPENZI.

Kwa Mujibu wa Ripoti iliyotolewa na
wakazi wa eneo husika, inasemekana
kwamba Bw. Mathias Nwoko,45, na Binamu
yake Angela Ihuoma walifikwa na Umauti
wakati wakiwa katika tendo la ndoa.
Wawili hao ambao asubuhi kabla ya
kufariki walionekana pamoja wakicheza
kwa furaha katika sherehe za
kumkaribisha Padri Mpya katika Jimbo
lao, Mathias ambaye ameelezwa alikuwa
ndani ya ndoa kwa kipindi cha miaka 13
bila ya kupata mtoto alirudi na binamu
yake usiku wakitokea kusikojulikana na
kumkuta mkewe akiwa anaangalia T.V
nyumbani kwake.
Mathias alimwambia mkewe atangulie
kulala kwasababu yeye anachukua tochi
amsindikize binamu yake huyo kwao.
Mama mzazi wa Angela alipoona usiku
unazidi na mwanawe hajarudi alimtafuta
kupitia simu yake ya mkononi ambayo
alipokelewa na Mathias akimwambia wapo
pamoja.
Mpaka asubuhi, Si Mathias wala Angela
Aliyerudi kwao na ndipo familia zote mbili
zilipoingiwa na wasiwasi, Mke wa Mathias
alienda katika nyumba yao ya pembeni
asubuhi hiyo na ndipo alipowakuta wawili
hao, mwanamke akiwa juu ya mwanaume.
Aliganda kwa muda asiamini
anachokiona,hasa kuona wawili hao
hawashtuki japo kawaona na ndipo
alipogundua ya kwamba wamefariki Dunia.
Ilibidi kutoa taarifa kwa familia ya Angela
ambapo alikuja mama yake mzazi ambaye
alipigwa na butwaa kutokana na picha
iliyokuwa mbele yake.
Miili yao ilitenganiswa na kupelekwa
hospitali huko Ogbor Nguru, jimbo la Aboh
Mbaise.

0 comments:

Post a Comment