Watu ambao wanajishughulisha na kushiriki katika ngono ya nia hii ya kinyume namaumbile
wapo katika hatari kubwa ya kiafya, kwa sababu njia ya haja kubwa
inazungukwa na mishipa/neva nyingi sana zipo eneo hilo ambalo kazi zake
si maalumu kwa tengo la ngono kwa kuingiziwa kitu ambacho hakistahiri
eneo hilo.
Ambapo
kwa utafiti uliofanyika Nchini Tanzania uliohusisha wasichana na
wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na iliyohusisha kada
tofauti katika jamii kama wanafuzi, wafanyakazi, wahudumu wa baa,
wauguzi, makahaba na kina mama wa majumbani katika maeneo tofauti. Watu
waliojitokeza ni 903 wakiwemo pia wanaume walihusika katika tafiti hiyo.
Utafiti
huo ulisema wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema kuwa wamewahi
kufanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile ambao ni sawa na
asilimia 27 huku asilimia 73 ya waliohojiwa walidai kufahamu njia hiyo
ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile, katika Utafiti huo ulifanywa na
Irene Mremi kutoka Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Nchini
Tanzania.
>ENDELEA HAPA<
>ENDELEA HAPA<
0 comments:
Post a Comment