Showing posts with label biashara. Show all posts
Showing posts with label biashara. Show all posts

Monday, 18 January 2016

Magazeti ya Leo » Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Januari 19, Ikiwemo ya Lowassa Kutamba Kuwa Mtaiona Dar ya Ukawa


Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Januari 19, Ikiwemo ya Lowassa Kutamba Kuwa Mtaiona Dar ya Ukawa

Wednesday, 13 January 2016

Bei ya mafuta soko la kimataifa yashuka

Bei ya mafuta katika soko la kimataifa imeendelea kushuka hadi kiwango cha chini kabisa ndani ya miaka 20 hadi sasa.
Kushuka kwa bei hiyo ya mafuta kimataifa kufikia kiwango cha chini ya dola 30 kwa pipa inatajwa kuwa ni matokeo ya kuongezeka kwa hifadhi ya mafuta nchini Marekani.
Kumekuwa na mtikisiko katika bei ya mafuta Duniani tangu mwaka 2014 ambapo matokeo yake ni kuongezeka kwa uzalishaji wa mafuta nchini Marekani na kupungua kwa uhitaji nchini China.
Hata hivyo wataalamu wa uchumi wanasema kuwa China umeingia katika uhitaji mdogo wa mafuta kutokana na kudorola kwa ukuaji wa uchumi wa taifa hilo.
Taarifa za kushuka kwa kasighafla kwa bei ya mafuta kimataifa kumesababisha kushuka kwa mauzo ya siku katika masoko makuu matatu ya hisa kwaununuzi kwa Zaidi ya asilimia mbili