Siku moja baada ya UKAWA kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kujiunga na umoja huo, mchana huu kupitia ukurasa wake wa Twitter, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr Willibrord Slaa ameandika hivii;
"Kwa miaka 23 upinzani sasa umefikia hatua ya kuongoza nchi yetu. Watanzania watambue kwamba tuko makini sana katika wakati huu"
"Tuna intelijensia ya kutosha kujua nini kinaendelea, nani anahama CCM na kwa nini, nani anakuja kwetu kwa mema na nani ametumwa"
"Muda wa Chadema kuchukua makapi, kuyumbishwa na intelijensia butu ya nchi ulipita zamani. Chama tawala kinatambua hili kwa wazi kabisa"
"Tunaomba iwepo subira, tunakaribisha wana CCM wanaotaka kuja kujieleza mbele yetu, tutawajadili tutaripoti kwa Watanzania, tutaamua"

Unayazungumziaje maneno haya?
0 comments:
Post a Comment