Thursday, 6 August 2015

Breaking News: Mwenyekiti Wa CUF Prof Ibrahimu Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa Chama hicho

Breaking News: Mwenyekiti Wa CUF Prof Ibrahimu Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa Chama hicho. Lipumba ametangaza uamuzi huo muda mfupi uliopita katika hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo inakuja baada ya jana mkutano wake na waandishi wa habari kuiharishwa ghafla. Lipumba amechukua hatua hiyo lakini amesema kwamba ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida wa CUF. 

0 comments:

Post a Comment