Thursday, 20 August 2015
waandishi wa habari wachezea kichapo mda huu huko ruvuma,wadaiwa ni wanachama wa ccm
Kundi la waandishi wa habari katika mkoa wa Ruvuma nchini Tanzania wameshambuliwa na kundi la takriban watu 40 wakati wakitekeleza majukumu yao katika kijiji cha Ruanda wilayani Mbinga ambako kulizuka mzozo wa uteuzi wa wagombea wa chama tawala nchini CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment