Wednesday, 29 July 2015

HII NDIO SWAGA YA MBUNGE MTARAJIWA,Magharibi mpaka nyanda za juu, kanda ya ziwa, kaskazini mpaka East Zoo, Wangoni Crew, HAPO VIPI?? HAPO ........................!!!!!!

Kupitia chama cha CHADEMA katika jimbo la Mikumi, msanii Joseph Haule ‘Prof Jay’ ameibuka mshindi katika kura za maoni. Kwa matokeo hayo, Prof. Jay atasimama kama Mgombea Ubunge toka CHADEMA katika jimbo hilo ili kuchuana na vyama vingine.

0 comments:

Post a Comment