Tuesday, 21 July 2015

Shamsa Ford Amshukuru Nay Kwa Kumvisha Pete!

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete.
“Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo.
Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka

0 comments:

Post a Comment