Tuesday, 21 July 2015

Hali ya msanii Christian Longombas wa Kenya bado si nzuri,anahitaji maombi

Mkali wa miondoko ya pop kutoka kundi la Longombas na wenye hit songs kibao kama “Never let you go” ambayo ni hit mpaka sasa.Msanii huyu alipata uvimbe katika ubongo na kufanyia uasuaji kwaajili ya kuutoa uvimbe huo.
christ
May 8 alipata ajali ya kisu iliyo mpelekea kufanyiwa upasuaji wa kwanza na kufanikiwa kutolea kisu hicho,baada ya upasuaji huo alitakiwa afanyiwe upasuaji tena kwaajili ya kuondoa mabuje ya damu yakiyo via katika kichwa kwa ndani.
Baada ya kufanikiwa hilo Daktari waliomfanyia upasuaji huo walisema wamefanikiwa kwa asilimia 90 kitu kitakacho mpelekea kuchukua wiki sita na zaidi ili kuja kuondoa uvimbe wote.Hali ya msanii huyu bado si nzuri hali iliyopelekea familia yake kuanza kukusanya michango kwaajili ya kumalizia upasuaji wake.

0 comments:

Post a Comment