Tuesday, 28 July 2015

SIRI IMEFICHUKA,UNAJUA JB KINACHOMFANYA AWE MNEE

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ameeleza kuwa mkeo ndiyo sababu ya yeye kuonekana mwenye furaha wakati wote.
JB alifunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram , ambapo aliweka picha hiyo hapo akiwa na mkeo nakuandika;
Kupenda si kumiliki tu bali kumfanya umpendae awe na furaha ndio maana halisi ya kupenda....kusema huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu nimefunga nae pingu za maisha haitoshi....asante kwa kunifanya niwe nafuraha na kuweza kufanya kazi zangu ...bila gubu pamoja na ugumu wa kazi zetu maana kazi zetu ngimu....watu wengi wanauliza mbona wewe hujui kununa kila saa unacheka...jibu ni huyu dada...asante....sijawahi kuacha kukupenda..

0 comments:

Post a Comment