Friday 31 July 2015

URAIS 2015:HALI SI SHWARI MAKAO MAKUU YA CCM, VIGOGO WA HAHA WENGINE WAINGIA MITINI.

URAIS 2015.HALI SI SHWARI MAKAO MAKUU YA CCM.VIGOGO WA HAHA WENGINE WAINGIA MITINI JOPO LA KAMATI KUU CCM KULAUMIANA. 
KUPUNGUZA NGUVU YA LOWASSA CCM YASAMBAZA VIBARA WAKE NCHINI KOTE KWAKUTUMIA MBINU MPYA YA KUMFANISHA LOWASSA NA MREMA ILI KUZUWIA MAFURIKO.
LAKINI JE CCM NA MBINU ZOTE IZO JE WATAWEZA KUZUWIA MAFURIKO YA UKAWA MWAKA HUU?
JIBU NI APANA
Wasiojua kuchanganuwa majira na nyakati wanalinganisha uamuzi wa Lowassa kuhamia CHADEMA na kipindi cha MREMA.
Watanzania msidanganyike na maneno ya watu waliochoka fikra na mawazo.
Mnatakiwa mjuwe kuwa Mtanzania wa leo si mtanzania wa kipindi kile cha Mwalim Nyerere.
Pia Mtambuwe kuwa Lowassa hajaamuwa maamuzi hayo au upinzani kumpokea wao hawajaona mbali zaidi. maneno ya vibaraka wa CCM wanaosema kwamba Lowassa anawachezea mchezo wapinzani ili apate kuwasambaratisha uo ni uvumi tu na mbinu ya kisiasa ya CCM kuweza kuwalagai watanzania.
CCM na viongozi wake wameshachoka hawana jipya na kwa hali waliofikia wanawaya waya tu kama walevi wakisubili UKAWA kuwadondosha chini.
Jambo la msingi ambalo mnatakiwa mjuwe mjuwe nikwamba tangu CHADEMA na UKAWA walipompokea LOWASSA na wote wanaomuunga mkono ndani ya CCM, hali si swari ndani ya CCM. yani ni mparanganyiko na lawama kila kono yanchi.
Tayari CCM wanawoga mkubwa kawa ambavyo ilivyokuwa kwa mfalme wa Yeriko alipopata habari kuwawake wana wa Izraeli wanavuka Yordan wakiongozwa na Joshua kuuteka mji wa Yeriko.
Mtanzania zidisha mapenzi na imani kubwa Lowassa na UKAWA ili wakati wakupiga kuga wote tujitokeze tuwapigie kura UKAWA kuanzia
Wabunge
Madiwani na Rais amba kwa muujibu wa makubaliano ya UKAWA wamekubaliana kuwa mgombea urais wa UKAWA atatoka CHADEMA ambae ni waziri mkuu wa zamani mh Edward Ngolai Lowassa ili tupate uongozi bora utakao simamia haki na usawa kwa wote.
usikubali kudanganyika au kudanganywa na viongozi wa CCM kumbuka mabadiliko ya taifa letu yataletwa na mimi na ww kupitia sanduku la kura
TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA ila cha msingi tu ni wewe na mimi kufanya maamuzi magum mwaka hu

0 comments:

Post a Comment