Friday 14 August 2015

AFUKUZWA KAZI KISA KAMTAMANI MKE WA RAIS MUGABE



Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemfukuza kazi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo kwasababu ambazo hazijatajwa. Hata hivyo baadhi ya mitandao ya kijamii duniani imekuwa ikidodosa kuwa huenda mkuu huyo wa majeshi amepoteza kibarua baada ya kuwa karibu na mke wa mzee huku mara kadhaa akionekana kumuangalia kimatamanio

0 comments:

Post a Comment