Friday, 28 August 2015
balaa gani tena hili!,Ukawa Wakatazwa kujenga Jukwaa Jangwani-Hii sasa Vita Police vs Ukawa
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 , hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo. more news and pictures to come, stay tuned. Aluta Continua..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment