Kama unawafollow Joh Makini na G nako kwenye mitandao ya kijamii basi utakua umeshaona picha mbalimbali wakiwa Afrika kusini ambazo bila shaka zinaonesha kuwa wanashoot video.
Mdogo wa Joh Makini ambaye pia ni member wa kundi la weusi,Nikki wa pili ameweka wazi kuwa wasanii hao tayari wamekamilisha video mbili, moja ni ya G nako inaitwa “Original” na nyingine ni collabo kubwa ya Joh makini na msanii wa Afrika kusini Aka ambayo inaitwa “Dont bother”
0 comments:
Post a Comment