Monday, 13 July 2015

MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA

Muigizaji Benson Wanjau wa Kenya maarufu kama Mzee Ojwang wa vipindi kama Vitimbi, Vioja Mahakamani, Vituko, Kinyonga na vingine vingi afariki dunia jana Usiku akiwa amelazwa hospitali ya taifa ya Kenyatta National Hospital.Mzee Ojwang alikuwa anasumbuliwa na Pneumonia.
ojwang3


RESEONE CLASSIC WEARWakenya wengi wameguswa na msiba huu huku baadhi ya watu wamepost ujumbe tofauti kwenye mitandao wa Twitter kuonyesha kuguswa kwa msiba huu wa aliekuwa mchekeshaji mkongwe wa Kenya. Mzee Ojwang amefariki akiwa na miaka 78.

0 comments:

Post a Comment