Sunday, 12 July 2015
WIZKID AJA NA RMX YA OJUELEGBA AKIMSHIRIKISHA STAR WA AMERIKA
<iframe src='http://www.audiomack.com/embed4-large/ovo3030/ojuelegba-remix' scrolling='no' width='100%' height='265' scrollbars='no' frameborder='0'
Starboy Wizkid amemshirikisha OVO rapper Drake na Skepta kwenye rmx ya Hit song yake “Ojuelegba”. Kwa mujibu wa mtandao wa ‘NotjustOkay’ Skepta ndio alimskilizisha drake hiyo ngoma wakati akiwa Uingereza, drake aliipenda akaamua kuingiza verse yake.></iframe>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment