Uchunguzi unaendelea katika hospitali ya Madrid
nchini Hispania kutokana na muuguzi mmoja
nchini humo kuwa mtu wa kwanza kubainika
kuwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola anaodaiwa
kuwa aliambukizwa virusi vya ugonjwa huo
kutoka nchi za Afrika Magharibi.
Muuguzi huyo alikuwa miongoni mwa kikosi cha
madaktari waliowati rai wamisionari wawili
waliokufa kutokana na ugonjwa huo baada ya
kurejeshwa nyumbani kwao wakitokea nchi za
Afrika Magharibi.
Hata hivyo hospitali hapo kwa sasa kuna
uangalizi mkubwa huku vifaa vya kujikinga na
vifaa vya kiafya ili kuzuia maambukizi ya virusi
vya ugonjwa huo.
zaidi ya watu 3000 kutoka Afrika Magharibi
wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola katika
mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea hivi karibuni.
Tuesday, 7 October 2014
EBOLA YAINGIA HISPANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment