Friday, 31 July 2015

BAADA YA BASATA KUMFUNGIA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO LEO



Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa  ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa mwaka mmoja kutokana na madai ya kuidhalilisha sanaa na Tanzania pale alipopanda jukwaani nchini Ubelgiji na nguo yake kuachia na maziwa yake kuonekana.Usiku wa July 30 2015 ilimtafuta Shilole na kuongea nae kwa dakika 9 za machungu yake na video yenyewe ndio hii hapa chini bonyeza play kumtazama Shilole.

0 comments:

Post a Comment