Friday, 28 August 2015

Kingunge na Serukamba,Nani Kuhamia Ukawa/Chadema Kesho?

Jamani kesho kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kuna watanzania wenzetu watahama kutoka CCM kwenda UKAWA/CHADEMA. Kwenye list hiyo, nawaona Kingunge Ngombale Mwiru na Peter Serukamba ni watu ambao kimwili wako CCM lakini kifikra wako UKAWA. Sio vibaya 'kuspeculate' kwani siasa zetu za ovyo ovyo ndio zimetufikisha hapa. Kwa wale wenye taarifa za 'chumbani' si vibaya mkaanza kuwatayarishia waandishi wa habari vichwa vya habari vya kesho kwa kutujuza

0 comments:

Post a Comment