Sunday, 26 July 2015
DIAMOND APIGWA KIPAPAI,NI BAADA YA KUCHUKUA TUZO NYINGINE TENA AKIMBIZWA HOSPITAL AKIWA HOI
09:54
No comments
Msanii wa muziki Taznzania Nasibu Abduli jana usiku alizidiwa ghafla baada ya kumalizika sherehee yake ya kuchukua tuzo,Diamond alikimbizwa haraka hospitalin baada ya hali yake kubadilika ghafla na sasa anaendelea na matibabu huko nchini Afrika kusini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment