Saturday, 25 July 2015

UUME KUSHINDWA KUSIMAMA...! JAMAA AJIKUTA AKIAIBIKA MBELE YA DEM



Kuna sababu za kifiziolojia(physiological) na za kisaikolojia (psychological) zinazochangiakusababisha uume kushindwa kusimama wakati wa tendo la ndoa:

- Mojawapo ya sababu za kifiziolojia ni pamoja na kupungua kwa damu inayotakiwa kujaza mishipa ya damu katika uume, na kuharibiwa kwa neva zinazopeleka habari au taarifa katika ubongo juu ya tendo hilo.

- Sababu zingine ni pamoja na;

☻ Magonjwa ya mishipa ya damu

☻ Kisukari

☻ Kutumia baadhi ya madawa kwa muda mrefu

☻ Magonjwa ya neva za fahamu



☻ Kufanyiwa upasuaji katika uume,au kupata ajalina kusababisha uume kuumia au kufanyiwa kipimo cha mionzi (radiation) sehemu za uumeni.

0 comments:

Post a Comment