Cloudsfm Radio
#News UKAWA Wazuiwa kuzindua kampeni Jangwani
Jiji la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea waUKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi
ya 29 Agosti , 2015 .Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA , James Mbatia amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzihuo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu
mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo.Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi zakuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo iliwazungumze naye , Jiji walikataa.Mbatia anasema viongozi wengine wa UKAWA
wanashughulikia suala hilo ikiwa pamoja nakumtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Damian Lubuva kuingilia kati.
Wednesday, 26 August 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment