Dar es Salaam. Mbunge wa Viti Maalumu (CCM),
Ester Bulaya ametangaza rasmi nia ya kugombea
ubunge katika Jimbo la Bunda ambalo linashikiliwa
na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na
Uratibu), Stephen Wasira.
Kwa nia hiyo, Bulaya anaweza kuwa ametangaza
vita dhidi ya Wasira ambaye hivi karibuni akiwa
Bunda, alitangaza kukitetea kiti chake hicho katika
Uchaguzi Mkuu 2015.
Wednesday, 24 September 2014
Bulaya atangaza vita na wasira
01:13
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment